VIPINDI VYA KAWAIDA VILIENDELEA LEO KAMA KAWAIDA KWA WALIMU KUSHIKA ZAMU ZAO BILA AJIZI fuatilia picha zifuatazo hapa chini:
| EDENI WAKIWA NA MWALIMU WAO | 
| Darasa la Yerusalemu wakiwa katika masomo kituoni | 
| Emmaus wakiwa makini kufuatilia masomo darasani | 
TUNAWAPONGEZA SANA WATOTO WOTE KITUONI KWANI WANAFURAHIA SANA HUDUMA INAYOTOLEWA NA MUNGU AWABARIKI KWA UTULIVU WENU.






0 comments:
Post a Comment