ZION TRANSFORMATION CHILDREN CENTER

zb

zb

WE DO ENCOURAGE SPORTS GAMES AND CREATIVITY FOR CHILDREN CENTER

Children are showing their talents as they were participating in center programs.

HUMASA MANAGEMENT TEAM ON DAY ONE AS WE WERE OPENING THE CENTER PROGRAM TODAY!

We wish you all the best and the almighty God be with you! Amen.

MUNGU ATUSAIDIE WATOTO KUPENDA ELIMU KWANI ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA!

Ni kweli kabisa kumekucha! Kwa nini kumekucha? Ni wiki kesho tu inayoanza tarehe 12/09/2016 katika mitaa ya Kata ya Kwangwa.

SPORTS AND NUTRITION FOODS ARE PART OF THE THINGS WE DO FOR THE HEALTH OF CHILDREN CENTER

Mojawapo ya mambo ambayo kituo kitafanya ni pamoja na kuvumbua kipawa na kipaji cha mtoto

IFAHAMU HUMASA KITUO CHA KULEA WATOTO

Kituo cha Huduma ya mabadiliko ya mtoto kimeazishwa rasmi mwaka 2016. kikiwa ni kituo ambacho kinasajili watoto wenye mahitaji mbalimbali ya kiroho na kimwili bila kujali Dini, kabila, au jinsia zao.

Tuesday 27 September 2016

THE HAPPY DAY HAVE ARRIVED WE THANK GOD!



THE HAPPY DAY HAS ARRIVED

WELCOME TO THE HAPPY DAY

The day that was waited eventually arrived


Dear readers of this blog (HUMASA). It was another good day that God has made to enjoy its beauty in our lives. In one of the articles written on this blog was that one day ahead of us staff will pass on to the streets in Kwangwa Ward to identify needy children ready for registration process.We thank God, that day has passed way! we are now in Happy days!

I would like to inform you dear readers, that the whole team Humasa or if you like Zitracc led by Member of the Central Committee of HUMASA (Zawadi James) have already passed to identify children who will be included in this center of Zion Transformation Children Center. This task was difficult but we thank God that helped us to make it for greater efficiency and cleverness as we were identifying and locating children who really are in need so that they will see the love of God in their lives!

GOD is Called THE FATHER OF THE ORPHANS AND THE HUSBAND OF THE WIDOWS! THIS IS BECAUSE WHEN YOU HELP A NEEDY PEOPLE YOU ARE TOUCHING THE HEART OF GOD!  

WELCOME AT THE CENTER GUARDIAN AND PARENTS OF THE CHILDREN AS WE INTEND TO RAISE CHILDREN WITH GOOD BEHAVIOR BUT ALSO WITH THE FEAR OF GOD. Thank you very much! Let see each other in these days of happiness. 
If touched with this Ministry please contact us via our contacts included in this blog.

Sunday 25 September 2016

WE DO ENCOURAGE SPORTS GAMES AND CREATIVITY FOR CHILDREN CENTER

DOWN HERE CHILDREN ARE SHOWING THEIR TALENTS AS THEY WERE PARTICIPATING IN CENTER PROGRAMS

Playing and dancing as we are about to close program day at HUMASA

Girls playing what we call in swahili "Mdako"

Trying to put together separate parts so that they can get the intended figure!

Creativity shown by children center as we intend to motivate talents on program day

Yustina one of the children center making toys by using clay

Children center showing some of the things they made. Big Up children!

THE FIRST DAY OF THE PROGRAM AT HUMASA WITH CHILDREN

AS WE MEET AT THE CENTER WE DO SEVERAL PROGRAMS AS SHOWN DOWN HERE
PLEASE PRAY FOR US AS WE INTEND TO "HELP THE LITTLE ONES"

We have devided children into three classes according to their ages

This class is called "Jerusalem." Their age ranges between 10-11 years. We call them in Swahili nick name "Wazee wa Kijiji" since they are older than all others at the center. 
We call them "Emmaus." they are in middle ages. Their age ranges between 7-9 years. Here sitting together and hearing the lesson from their teacher who was teaching them about their bodies and how to keep them clean!
Eden class. This class have little children. Their age ranges between 5-6 years. They come together drawing, singing, playing, knead clay etc. We are very proud of having them at HUMASA.

Thursday 22 September 2016

OFISI IKO TAYARI KWA HUDUMA!!

UWEKAJI SAKAFU KORIDONI NA OFISINI TAYARI

Tayari sakafu imewekwa chumba cha ofisi kuanza kutumika karibuni

Saturday 17 September 2016

WATOTO HOYEE!!!

HOW BLESSED DAY IT WAS?

TODAY WAS THE FIRST DAY TO MEET WITH PARENTS AND THEIR CHILDREN AT OUR CENTER. HOW BLESSED DAY IT WAS? 

IT WAS AMAZING TO SEE PARENTS AND THEIR CHILDREN IN FULL ATTENDANCE LISTENING TO HUMASA MANAGEMENT TEAM AS THEY WERE SHARING INFORMATION ABOUT THE CENTER AND WHAT WILL BE DONE AT THE CENTER!

HOW BLESSED DAY IT WAS? SEE CHILDREN AS THEY WERE ENJOYING HAVING WITH HUMASA MANAGEMENT TEAM ON DAY ONE AT THE CENTER

THANK YOU  JESUS FOR THE MIRACLE WHICH YOU HAVE DONE TO US TODAY. AMEN.


Children are enjoying to be at Zitracc for the first time. May the Lord Jesus help you to grow knowing him.

Friday 16 September 2016

IN SWAHILI WE SAY "SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI" YOU KNOW WHAT IT MEANS read more

The Bible says "Train a child in the way he should go and when he is old he will not turn from it" this means that as we have seen the title of this articles above when you take the obligation of raising a child when he/she is still in early stage of her/his ages what you teach him/her will not go astray up to his/her old age!

This is very true and is also supported by the word of God. That is why we Humasa have registered a very young children boys and girls so that when they grow up the community will benefit from them.

We hope and believe that God will help us to raise these children in good order so that the family, the church as a whole, community around them and even the nation will benefit from what will be delivered with these children after receiving good teachings from the center (HUMASA)  That is why we say in swahili 

"SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI"





Thursday 15 September 2016

WE ARE DONE WITH CHILDREN REGISTRATION SESSION ONE 09/2016

THANK YOU JESUS FOR HELPING US IN THIS CRUCIAL TASK

We are done! we are done! we are done! this is what we may sing after finishing a very crucial task which we dealt with for two days! We thought it could take us only one day to finish this job but we met with a different story!

It was a two days of sweating, walking around the whole Kwangwa ward but with courage that we have been called by God to "Help the little ones" around us to show them God's love in their struggles, worries and whatever they face in their lives!

What we can say is THANK YOU SO MUCH OUR ALMIGHTY GOD FOR HELPING US and eventually we are done!!!

Down here I just want to show you only the tips of the iceberg showing some of the events in pictures concerning what we did in these two days:

This is the first child to be registered at HUMASA

We have decided to help children who are real in needs

The last child for session one registration to be registered at HUMASA
  

Tuesday 13 September 2016

SIKU YA FURAHA NI KESHO NI KESHO! WAJUA KWA NINI? bonyeza hapa

KARIBU KWENYE SIKU YA FURAHA HAPO KESHO


Zawadi James Mussa (Executive Committee Member)


Mpendwa msomaji wa blog hii ya HUMASA! Ni siku nyingine njema ambayo Mungu ameifanya ili tufurahie uzuri wake maishani mwetu. katika mojawapo ya makala zilizoandikwa katika blog hii ilihusu siku ambayo watumishi wa kituo watapita huko Kwangwa kwenye mitaa ya Kata hiyo kuwabaini watoto wahitaji tayari kwa huduma iliyokusudiwa kwao.

Napenda kukujulisha ndugu msomaji kuwa kesho timu nzima ya Zitracc au wana Humasa wakiongonzwa na Mjumbe wa Kamati kuu ya HUMASA (Zawadi James pichani) watakuwa wakipita na kubaini watoto watakaojumuishwa katika kituo hiki cha mabadiliko ya mtoto Sayuni. kazi hii ni ngumu lakini tunatazamia Mungu atatusaidia kuifanya kwa ufanisi na weredi mkubwa ili kuwabaini na kuwapata  watoto ambao kweli watakuwa na uhitaji ili waone upendo wa Mungu katika maisha yao!

MUNGU ANAITWA BABA WA YATIMA NA PIA ANAITWA MUME WA WAJANE! HII NI KWA SABABU UMSAIDIAPO MUHITAJI UNAGUSA MOYO WA MUNGU! UNALIJUA HILO?

KARIBU KITUONI MTOTO NA MLEZI KWA MAISHA MEMA NA YENYE ADILI NA YALIYO PIA NA HOFU YA MUNGU NDANI YAKE. ASANTENI SANA NA KARIBUNI TENA!

Monday 12 September 2016

MABADILIKO YAJA!!!

KARIBU KWA MABADILIKO YA KWELI

Ni muda mchache sana umebaki ili kuanza huduma hii itakayokuwa baraka kwa watu wa Kata ya Kwangwa. Ni muda wa kufanya kazi tayari kwa kuleta watoto kituoni ambapo watalelewa katika maadili mazuri kiakili, kiroho na kimwili!

kwa kusema hayo niwakaribishe wapendwa wote! Karibuni kwa mabadiliko ya kweli!
 KARIBUNI SANA

JAMES SHAGEMBE (CP) ZITRACC 




Friday 9 September 2016

WATOTO KUMEKUCHA!

Ni kweli kabisa kumekucha! Kwa nini kumekucha? Ni wiki kesho tu inayoanza tarehe 12/09/2016 katika mitaa ya Kata ya Kwangwa wana Zitracc au ukipenda Humasa kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili wakiwa Jopo zima watakuwa wakizunguka kuwabaini watoto wahitaji 50 kwa kuanzia!watakaopata fursa wa kuwa watoto waanzilishi wa kituo! kwani watakuwa wakisajiliwa. Muda na siku ya kupita mitaani mtajulishwa!


Usingependa upitwe na nafasi hii muhimu kukua na kulelewa katika kituo hiki cha Mabadiliko ya Mtoto! Hivyo hakikisha unakuwepo nyumbani ili usipitwe na fursa hii adimu! Ni matumaini yetu kuwa Mungu atatujalia kufika salama salimini katika siku hiyo muhimu tayari kwa kukutana Jumamosi ya kwanza Pale sehemu muhimu, tulivu, na yenye hewa na upepo mwanana.

Si pengine bali ni pale makao yetu makuu ya Kituo kama yanavyoonekana pichani. Kidhi vigezo, kuwa mwaminifu na Karibu Kituoni

KARIBU KITUONI UONE NA UHISI UPENDO WA MUNGU KWAKO

Sunday 4 September 2016

KUWAWEZESHA WATOTO KUINUA VIPAJI VYAO

Mojawapo ya mambo ambayo kituo kitafanya ni pamoja na kuvumbua kipawa na kipaji cha mtoto. tunaamini katika ulimwengu huu wa sasa vipaji na vipawa ni muimu sana kwani ni ajira pia kwa vijana wenye vipaji.

Tunaamini na tungependa vijana wetu wote wasome hadi elimu ya juu. Lakini mara nyingine si rahisi na si njia pekee ya kumtoa mtu kimaisha hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye wasomi wengi wasio na ajira! hivyo basi pamoja na kuwahimiza kwa kasi na kwa nguzu zetu zote kuhusu umuhimu wa elimu hatutasahau pia kuinua vipaji na vipawa vyao ili kuwa watu muhimu katika familia zao, jumuiya waishizo lakini pia Taifa kwa ujumla wake.

NDO MAANA NIKASEMA "KONGOLE" KIJANA KWA KUTAMBUA KIPAJI CHAKO


MUNGU AKUKUZE HUKU UKIMJUA YEYE NA AZIDI KUKUBARIKI UNAPOENDELEA NA MASOMO YAKO PIA. AMEN!

Friday 2 September 2016

JE WAFAHAMU KWA NINI TUPO?



MADHUMUNI

I. Kufikisha upendo wa Mungu kwa watoto wahitaji na familia zao ili kuletamabadiliko katika maisha timilifu ya binadamu yaani (kimwili na kiroho)Kutimiza agizo kuu la Bwana Yesu Kristo kwa watu wote lililopo katikamaandiko matakatifu yaani, kutangaza Habari za Ukombozi, KutangazaHuruma na upendo wa Mungu kwa wanadamu wote bila kujali hali zao, iliwamjue, watubu, wampende na pia wamwabudu yeye katika roho na kweli.

II. Kufikisha upendo wa Mungu kwa watoto wahitaji na familia zao ili kuletamabadiliko katika maisha timilifu ya binadamu yaani (kimwili na kiroho)Kutimiza agizo kuu la Bwana Yesu Kristo kwa watu wote lililopo katikamaandiko matakatifu yaani, kutangaza Habari za Ukombozi, KutangazaHuruma na upendo wa Mungu kwa wanadamu wote bila kujali hali zao, iliwamjue, watubu, wampende na pia wamwabudu yeye katika roho na kweli.

III. Kufanya matendo ya huruma kwa jamii yenye mahitaji mbalimbali kama:



(i)       Kuwaona na kuwatia moyo watoto yatima na wenye mahitaji katika shida zao na kuwafariji.

(ii)     Kuwafariji wagonjwa.

(iii)  Kuwasaidia misaada mbalimbali watoto wahitaji (kiroho na kimwili) wao na familia zao wanapokuwa katika hali ya uhitaji.


IV. Kubuni na kuanzisha miradi ya maendeleo ili kuhakikisha kituo  kina uwezo wa kutekeleza shughuli zake;


V.  Kusaidia na kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kama kutembelea wenye mahitaji, wagonjwa, kufanya usafi katika vituo vya afya, nk.

  
 VI. Kushirikiana na vituo vingine vinavyotoa huduma zinazofanana na huduma za kituo hiki.
KARIBUNI SANA KATIKA KUJENGA KIZAZI CHA MABADILIKO YA MTOTO

IFAHAMU HUMASA



Kituo cha Huduma ya mabadiliko ya mtoto kimeazishwa rasmi mwaka 2016, kikiwa ni kituo ambacho kinasajili watoto wenye mahitaji mbalimbali ya kiroho na kimwili bila kujali Dini, kabila, au jinsia zao ili kumhudumia mtu katika ukamilifu wake. Nia ni kuhakikisha kuwa mtoto na familia yake kitaifa na kimataifa wanafikiwa na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu kwa watu wote, ili wafanyike kuwa waumini wanaomwabudu Mungu katika roho na kweli.

Taratibu za Kituo cha Huduma ya mabadiliko ya mtoto zimeandikwa katika katiba na ndizo zitakazotumika katika kuongoza kituo hiki kama mwongozo wa kituo katika mambo yote yanayohusu uendeshaji wa kituo na utoaji wa Huduma.

Kituo hiki si cha kibiashara na kimeanzishwa kwa nia ya kutangaza upendo wa Mungu kwa kusaidia watoto wahitaji.

1.1        JINA LA KITUO NA MAKAO MAKUU


(a)  Jina la Kituo litakuwa “ZION TRANSFORMATION CHILDREN CENTER” KWA KIFUPI (ZITRACC) au kwa Kiswahili
“HUDUMA YA MABADILIKO YA MTOTO SAYUNI” (HUMASA)
(b)  Logo ya kituo itakuwa kama inavyoonekana hapa chini:

                                            

(c)  Makao makuu ya Kituo yatakuwa Wilaya ya Musoma, mkoani Mara katika Kata ya Kwangwa mtaa wa Kiara.