ZION TRANSFORMATION CHILDREN CENTER

zb

zb

Friday 2 September 2016

JE WAFAHAMU KWA NINI TUPO?



MADHUMUNI

I. Kufikisha upendo wa Mungu kwa watoto wahitaji na familia zao ili kuletamabadiliko katika maisha timilifu ya binadamu yaani (kimwili na kiroho)Kutimiza agizo kuu la Bwana Yesu Kristo kwa watu wote lililopo katikamaandiko matakatifu yaani, kutangaza Habari za Ukombozi, KutangazaHuruma na upendo wa Mungu kwa wanadamu wote bila kujali hali zao, iliwamjue, watubu, wampende na pia wamwabudu yeye katika roho na kweli.

II. Kufikisha upendo wa Mungu kwa watoto wahitaji na familia zao ili kuletamabadiliko katika maisha timilifu ya binadamu yaani (kimwili na kiroho)Kutimiza agizo kuu la Bwana Yesu Kristo kwa watu wote lililopo katikamaandiko matakatifu yaani, kutangaza Habari za Ukombozi, KutangazaHuruma na upendo wa Mungu kwa wanadamu wote bila kujali hali zao, iliwamjue, watubu, wampende na pia wamwabudu yeye katika roho na kweli.

III. Kufanya matendo ya huruma kwa jamii yenye mahitaji mbalimbali kama:



(i)       Kuwaona na kuwatia moyo watoto yatima na wenye mahitaji katika shida zao na kuwafariji.

(ii)     Kuwafariji wagonjwa.

(iii)  Kuwasaidia misaada mbalimbali watoto wahitaji (kiroho na kimwili) wao na familia zao wanapokuwa katika hali ya uhitaji.


IV. Kubuni na kuanzisha miradi ya maendeleo ili kuhakikisha kituo  kina uwezo wa kutekeleza shughuli zake;


V.  Kusaidia na kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kama kutembelea wenye mahitaji, wagonjwa, kufanya usafi katika vituo vya afya, nk.

  
 VI. Kushirikiana na vituo vingine vinavyotoa huduma zinazofanana na huduma za kituo hiki.
KARIBUNI SANA KATIKA KUJENGA KIZAZI CHA MABADILIKO YA MTOTO

0 comments:

Post a Comment