KATIKA KUUNGANA NA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WATOTO WA KITUO CHA HUMASA WALIHUSIKA KATIKA ZOEZI LA USAFI TAZAMA PICHA
Tunamshukuru Mungu kuwasaidia watoto katika kazi hii ya utunzaji wa mazingira na shughuli ya usafi. Tunawafunza kuyapenda na kuyajali mazingira!