ZION TRANSFORMATION CHILDREN CENTER

zb

zb

EDUCATION


MSHIKE SANA ELIMU USIMWACHE AENDE ZAKE

KWA SASA KITU KINACHOLIPA SANA NA AMBACHO WAZAZI WENGI HAWAFANYI MCHEZO NACHO NI ELIMU

MZAZI YUKO TAYARI KUTOA MAELFU YA FEDHA AU HATA KUMPELEKA MTOTO NJE YA NCHI IWAPO TU ATAAMINISHWA KUWA KWA KUFANYA HIVYO ATAMPA MTOTO WAKE KILICHO BORA! 

KWA KUZINGATIA HAYO NDIYO MAANA UKAWEPO MSEMO UNAOTUMIKA SANA MASHULENI NA HASA PALE UNAPOPUNGUKIWA KARO YA MTOTO. USEMI HUO NI: "IWAPO UNAONA ELIMU NI GHALI BASI JARIBU UJINGA!"

HIVYO BASI TUKUBALIANE NA NENO LA MUNGU KUWA TUMSHIKE SANA ELIMU TUSIMWACHE AENDE ZAKE WATOTO. KUNA NYAKATI ZINAKUJA AMBAPO UTAPENDA KUSOMA NA HUTAPA NAFASI HIYO TENA! 

MUNGU ATUSAIDIE WATOTO KUPENDA ELIMU KWANI ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA! WA KALE WALISEMA.

0 comments:

Post a Comment