MADHUMUNI
I. Kufikisha upendo wa Mungu kwa watoto wahitaji na familia zao ili kuletamabadiliko katika maisha timilifu ya binadamu yaani (kimwili na kiroho)Kutimiza agizo kuu la Bwana Yesu Kristo kwa watu wote lililopo katikamaandiko matakatifu yaani, kutangaza Habari za Ukombozi, KutangazaHuruma na upendo wa Mungu kwa wanadamu wote bila kujali hali zao, iliwamjue, watubu, wampende na pia wamwabudu yeye katika roho na kweli.
II. Kufikisha
upendo wa Mungu kwa watoto wahitaji na familia zao ili kuletamabadiliko katika
maisha timilifu ya binadamu yaani (kimwili na kiroho)Kutimiza
agizo kuu la Bwana Yesu Kristo kwa watu wote lililopo katikamaandiko
matakatifu yaani, kutangaza Habari za Ukombozi, KutangazaHuruma na upendo wa
Mungu kwa wanadamu wote bila kujali hali zao, iliwamjue, watubu, wampende na
pia wamwabudu yeye katika roho na kweli.
III. Kufanya
matendo ya huruma kwa jamii yenye mahitaji mbalimbali kama:
(i) Kuwaona
na kuwatia moyo watoto yatima na wenye mahitaji katika shida zao na kuwafariji.
(ii) Kuwafariji
wagonjwa.
(iii) Kuwasaidia
misaada mbalimbali watoto wahitaji (kiroho na kimwili) wao na familia zao
wanapokuwa katika hali ya uhitaji.
IV. Kubuni
na kuanzisha miradi ya maendeleo ili kuhakikisha kituo kina uwezo wa kutekeleza shughuli zake;
V. Kusaidia
na kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kama kutembelea wenye
mahitaji, wagonjwa, kufanya usafi katika vituo vya afya, nk.
VI. Kushirikiana na vituo vingine vinavyotoa
huduma zinazofanana na huduma za kituo hiki.
KARIBUNI SANA KATIKA KUJENGA KIZAZI CHA MABADILIKO YA MTOTO
0 comments:
Post a Comment