ZION TRANSFORMATION CHILDREN CENTER

zb

zb

Saturday, 15 October 2016

SHUGHULI ZA KITUO ZAINGIA HATUA NYINGINE LEO

VIPINDI VYA KAWAIDA VILIENDELEA LEO KAMA KAWAIDA KWA WALIMU KUSHIKA ZAMU ZAO BILA AJIZI fuatilia picha zifuatazo hapa chini:

EDENI WAKIWA NA MWALIMU WAO



Darasa la Yerusalemu wakiwa katika masomo kituoni


Emmaus wakiwa makini kufuatilia masomo darasani

TUNAWAPONGEZA SANA WATOTO WOTE KITUONI KWANI WANAFURAHIA SANA HUDUMA INAYOTOLEWA NA MUNGU AWABARIKI KWA UTULIVU WENU.

0 comments:

Post a Comment